The Typologically Different Question Answering Dataset
Predictions
Scores
Cristiano Ronaldo
The Typologically Different Question Answering Dataset
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro GOIH, ComM (matamshi ya Kireno: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa 5 Februari 1985) ni mtaalamu wa soka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa.